Mwanamke Akutwa Kwenye Paa La Jengo La Wizara Ya Fedha Na Mipango Jijini Dar Es Salaam Leo.
Manamke
ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya paa la
majengo ya Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam leo.
Mwanamke
huyo akizungumza na watu waliokusanyika lakini alikuwa hasikiki vizuri
maneno aliyokua akiongea kutokana na wananchi waliokusanyika kumuuliza
maswali mengi kwa wakati mmoja.
Polisi
akiwa pembeni ya uzio wa majengo ya wizara ya fedha na mipango mara
baada ya mwanamke huyo kuwa juu ya paa la nyumba hizo. Baada ya muda
wafanyakazi wa wizara hiyo walimwekea ngazi na kumshusha ili kumhoji
zaidi nini kimemfanya apande juu ya paa la majengo hayo.
No comments:
Post a Comment