Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi
Hali
si shwari katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es
salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma
moto mataili pande zote za barabara
Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio kukabiliana na tukio hilo.
No comments:
Post a Comment