BREAKINGNEWS''...TAREHE YA KURUDIA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZWA RASMI LEO
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar ndugu Jecha Salimu Jecha leo jioni ametangaza tarehe rasmi ya marudio ya uchaguzi zanzibar.
Uchaguzi huo utafanyika siku ya jumapili ya tarehe 20 march 2016,ambapo utahusisha madiwani na raisi.
No comments:
Post a Comment