Katika hatua nyingine rais Dkt John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi
kamishna Jenerali wa uhamiaji Sylivester Mpukilwa na kamishna utawala na
fedha Piniel Mgonja kupisha uchunguzi wa ukusanyaji maduhuli na
uendeshaji wa idara hiyo.
Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema katibu tawala aliyehamishwa Manyara kukaimu nafasi ya naibu kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Eliachim Maswi amerejeshwa kwenye kazi yake ya katibu tawala Manyara baada ya kumaliza kazi aliyotumwa

No comments:
Post a Comment