MAALIM SEIF AKATAA KURUDIA UCHAGUZI ZANZIBAR
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD LEO: W amesubiri vya kutosha kwa sababu sisi viongozi wao tunaojali amani ya nchi tumewataka wasubiri. sasa u mefi ka wakati uvumilivu na subira zao zinafika kikomo.wanahitaji subira zao za haki.Ni vema tukaweka wazi kwamba kurudiwa kwa uchaguzi siyo suluhisho na hakukubalik i kwa n i hakuna hoja wala msingi wa K ikatiba na kisheria wa uchaguzi kurudiwa
No comments:
Post a Comment