Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma
Aliyekuwa
mgombea Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi ya
UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada
wa Dakawa baada ya kusimama na kuwasalimia.
Lowassa alikuwa safarini kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA.
No comments:
Post a Comment