WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MKEWE WA MTEMBELEA SUMAYE
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe wamemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye leo, ambaye amelazwa katika Taasisi ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment