Wabunge Wote wa CUF Tanzania Bara na Visiwani wajivua Ubunge
Katika
barua ambayo imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ahmed Nassor Mazrui
na kusambazwa kwa wanahabari leo Machi 18,2016, Wabunge wote wa Chama
cha Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi
cha 2015-2020 kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi
na kuporwa haki katika uchaguzi wa Zanzibar.
Chini ni nakala ya barua kwenda kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai.
No comments:
Post a Comment