Sunday, March 20, 2016

Uchaguzi Zanzibar : Mgombea Urais wa CCM Dr. Shein Apiga Kura Asubuhi Hii

Zoezi  la upigaji kura limeanza  ambapo mgombea urais wa CCM Dkt Ali Mohammed Shein amepiga kura asubuhi hii katika kituo cha Bungi kisiwa cha Unguja. 

No comments:

Post a Comment