WALIO MPELEKA MAGUFULI IKULU
Kama mtu alikuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa kisiasa katika uchaguzi mkuu mwaka huu atakubaliana nami kuwa wafuatao ndiyo waliompeleka Magufuli ikulu.
1. Watu waliokubali kutukanwa na kudharauliwa kwa kuamini kuwa Magufuli anaweza.

2. Watu waliojitanabaisha ni wa lowassa kwa Watu lakini katika sanduku
la kura waligeuka na kuwa wa Magufuli. Na hawa ni wengi kwa idadi
ukilinganisha na kundi la kwanza waliojionesha hadharani kuwa
wanamwamini Magufuli.
3. Watu walioshituka muda wa mwisho kabisa kuelekea siku ya uchaguzi.
4. Wananchi maskini walioamini kuwa mtu anayefahamu shida zao ni yule aliyeziishi shida hizo. Wanyonge hawa waliweka imani yao kwa Magufuli,,,,hata pamoja na vuguvugu la kutaka kuchoma kitanda badala ya kumtafuta kunguni kukolea wao walibaki na imani yao kuwa Magufuli anaweza.
5.kundi la tano ni kundi la Wananchi walioamini kuwa mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya ccm na kuunga mkono kauli ya lowassa alipokuwa akitangaza nia ya kugombea urais kupitia ccm. Hawa waliamini kuwa chama cha siasa hujengwa na Watu na kuwa kila mtu anahulka na namna yake ya kutenda hawakuamini kuwa eti ccm ya mkapa... Mwinyi inafanana na ya kikwete..... Wao waliamini kuwa kila kiongozi ana namna yake ya kuongoza na kutenda na udhaifu wa kiongozi mmoja huwezi kuwa ni udhaifu wa wanachama wote.
6. Wananchi walioamini kuwa mfumo ni matokeo ya binadamu na binadamu mwenye dhamira njema anaweza kuubadili mfumo mbovu kwa manufaa ya wengi. Hawa waliamini kuwa tabu yetu si mfumo bali ni Watu waliomo ndani ya mfumo yetu kama taifa.... Watu wanaotumia mfumo iliyopo kwa manufaa binafsi.
NINAWAPONGEZENI SANA NYOTE MLIOMPELEKA RAIS MAGUFULI IKULU....... HAKIKA HAMKUBAHATISHA

No comments:
Post a Comment